ITS ALL ABOUT ENTERTAINMENT, N MY LIFE STYLE

Posted by rizzlelicious - - 0 comments

Huyu mtoto hapa juu amechukuwa password ya rafiki yangu akaanza kuomba hela kupitia email ya m2........tabia ya mtu kuandika hatineno yake halafu wewe wa pembeni unashika herufi moja moja  hiyo sio tabia nzuri na wala sio ustarabu....anaishi morogoro anafanya kazi bank

Leave a Reply